Ziara ya kutembelea na kufanya tathmini ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/2026 imeanza rasmi tarehe 06 Oktoba 2025 katika Manispaa ya Geita. Leo ikiwa ni siku ya pili ya ziara hiyo, timu ya wataalamu kutoka Manispaa ya Geita wakiwemo wakuu wa idara na vitengo mbalimbali wanaendelea na kazi ya kukagua miradi katika ngazi ya vijiji/mitaa na kata.
Lengo la ziara hii ni kujiridhisha na hatua ya utekelezaji wa miradi, kutoa mapendekezo ya kitaalamu, na kuhakikisha thamani ya fedha inaonekana katika kila mradi.
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa