Manejimenti na Watumishi wote wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita wanakupongeza kwa heshima kubwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
unawaombea Mwenyezi Mungu awajaalie hekima, ustahimilivu, na mshikamano katika kuliongoza taifa letu, kusimamia shughuli za maendeleo na kuhakikisha ustawi wa wananchi kwa misingi ya haki na utu. Mungu awabariki.
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa