Halmashauri ya Manispaa ya Geita, kupitia Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa, Wakuu wa Idara na Vitengo, inatoa salamu za pongezi na kuwatakia Mtiani Mwema wanafunzi wote wa Darasa la Nne wanaoanza Mtihani wa Taifa leo tarehe 22 hadi 23 Oktoba 2025.
Tunatambua juhudi kubwa mlizoweka katika masomo yenu, na tunawaamini kuwa mtashinda kwa ubora na nidhamu ya hali ya juu. Walimu wenu, wazazi na jamii kwa ujumla wanajivunia mafanikio yenu.
Endeleeni kuwa na nidhamu, kujiamini, na kufanya vizuri kwa manufaa yenu binafsi na taifa kwa ujumla.
Tunawatakia kila la kheri
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa