• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

MKURUGENZI WA MANISPAA YA GEITA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 3

Posted on: November 13th, 2025

Geita, Novemba 13, 2025 - Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Ndugu Yefred Myenzi, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo akiwa ameambatana na wakuu wa idara na vitengo mbalimbali. Miradi iliyotembelewa ni ile iliyopewa fedha kutoka Serikali Kuu pamoja na fedha za mradi wa BOOST, yenye jumla ya thamani ya Shilingi 1,089,470,000.


Katika ziara hiyo, Mchumi wa Manispaa, Bi. Annastazia Richard, amesema kuwa ziara imewezesha timu ya menejimenti kujionea hatua mbalimbali za utekelezaji wa miradi na kufuatilia kama utekelezaji unakwenda sambamba na mpango kazi uliopangwa.

Afisa Elimu Msingi wa Manispaa ya Geita, Mwl. Sostenes Mbwilo, amesema miradi 9 ya BOOST iliyotembelewa ipo katika hatua nzuri ya ujenzi, ambapo mingi imefikia zaidi ya asilimia 90 ya utekelezaji.

Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Dkt. Sunday Mwakyusa, amesema miradi ya sekta ya afya iliyokaguliwa ipo katika hali nzuri, na ana matumaini kuwa yote itakuwa imekamilika ifikapo tarehe 30 Novemba 2025.

Akihitimisha ziara hiyo, Mkurugenzi wa Manispaa ya Geita Ndugu Yefred Myenzi amewapongeza wasimamizi wote wa miradi kwa kazi nzuri wanayoifanya na kuwataka mafundi waliokabidhiwa kazi kuhakikisha wanakamilisha ujenzi kwa wakati. Pia ametoa maelekezo kwa vitengo husika kuanza utaratibu wa fidia katika maeneo ya miradi yanayohitaji taratibu hizo.

Aidha, amefafanua kuwa kiasi cha zaidi ya Shilingi bilioni 3.4 kimetengwa na kuelekezwa kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya manispaa. Amesisitiza kuwa kila robo ya mwaka, Halmashauri itaendelea kuelekeza fedha kwenye miradi ya maendeleo kwa ajili ya kuboresha maisha ya wananchi.

Mkurugenzi Myenzi ameahidi kuwa menejimenti itaendelea na ziara za mara kwa mara kufuatilia maendeleo ya miradi na kuhakikisha inatekelezwa kwa ubora na viwango vilivyokusudiwa, akisisitiza kuwa lengo kuu ni kuzalisha miradi bora yenye tija kwa wananchi wa Geita.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI


BOFYA HAPA KUONA VIDEO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2026 MANISPAA YA GEITA December 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI MKUU 2025 October 06, 2025
  • TAARIFA YA UKAGUZI WA TAARIFA ZA FEDHA KWA MWAKA ULIOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024 August 11, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA DEREVA II September 04, 2025
  • Zaidi

Habari Mpya

  • MKURUGENZI WA MANISPAA YA GEITA AFANYA KIKAO MAALUM KUSIKILIZA KERO ZA WATUMISHI WA AFYA

    December 04, 2025
  • MANISPAA YA GEITA YASAMBAZA MBEGU ZA VIAZI LISHE KATIKA SHULE 41 KUBORESHA LISHE YA WANAFUNZI

    December 03, 2025
  • MANISPAA YA GEITA YAKABIDHI KOMPYUTA MPAKATO KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NGAZI YA KATA KUONGEZA UFANISI WA KAZI

    December 03, 2025
  • MADIWANI WA MANISPAA YA GEITA WALA KIAPO NA KUJIELEKEZA KULETA MAENDELEO KWA KUZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA NCHI

    December 02, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa

  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • YAMITOTO
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200 GACOR
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • yamitoto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • situs toto