Halmashauri ya Manispaa ya Geita inatarajia kuwa mwenyeji wa Mwenge wa Uhuru 2025, ambapo miradi mbalimbali ya maendeleo yenye jumla ya thamani ya Shilingi 145,893,835,729 Kutoka vyanzo mbalimbali Serikali kuu, Halmashauri na Nguvu za wananch itazinduliwa, kukaguliwa na kuhamasishwa.
Miradi hiyo inagusa sekta muhimu kama Afya, Elimu, Barabara, Maji, Maendeleo ya Jamii, Maliasili, Usalama na Mazingira, ikiwa na lengo kuu la kuboresha ustawi wa jamii na huduma kwa wananchi wa Manispaa ya Geita.
Kupitia mapokezi haya, Halmashauri inaendelea kuonesha dhamira ya dhati katika kutekeleza miradi yenye tija, ushirikishwaji wa jamii na kuunga mkono juhudi za serikali katika kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi.
KAULI MBIU YA MWENGE WA UHURU 2025:
“Jitokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa Amani na Utulivu.”
Wananchi wa Manispaa ya Geita wanahimizwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mapokezi haya kama ishara ya uzalendo, mshikamano na kuunga mkono jitihada za serikali katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZA MAPOKEZI
BOFYA HAPA KUONA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA MTAKUJA
BOFYA HAPA KUONA VIDEO UFUNGUZI KITUO CHA AFYA MTAKUJA
BOFYA HAPA KUONA UZINDUZI WA SHULE YA SEKONDARI MBABANI
BOFYA HAPA KUONA VIDEO UFUNGUZI WA SHULE YA SEKONDARI MBABANI
BOFYA HAPA KUONA UWEKAJI JIWE LA MSINGI KATIKA BARABARA YA KASCO - GESECO
BOFYA HAPA KUONA VIDEO UWEKAJI JIWE LA MSINGI KATIKA BARABARA YA KASCO - GESECO
BOFYA HAPA KUONA KUTEMBELEWA KWA TENKI LA MAJI
BOFYA HAPA KUONA KUTEMBELEWA KWA SOKO LA MBAGALA
BOFYA HAPA KUONA KUTEMBELEWA KWA KIKUNDI CHA VIJANA CHAMATH - MWATULOLE
BOFYA HAPA KUONA VIDEO KIKUNDI CHA VIJANA MATH
BOFYA HAPA KUONA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI MAABARA YA KISASA YA SAMPULI ZA MADINI
BOFYA HAPA KUONA UFUNGUZI WA OFISI YA KATA YA KANYALA
BOFYA HAPA KUONA VIDEO UFUNGUZI WA OFISI YA KATA YA KANYALA
BOFYA HAPA KUONA KUTEMBELEWA KWA NISHATI SAFI KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA GEITA
BOFYA HAPA KUONA VIDEO KAMILI YA MWENGE WA UHURU KATIKA MANISPAA YA GEITA
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa