Timu ya wachezaji wa Manispaa ya Geita, ikiongozana na viongozi mbalimbali pamoja na wakuu wa idara na vitengo, imeanza rasmi safari kuelekea jijini Tanga kwa ajili ya kushiriki mashindano ya SHIMISEMITA.
Safari hii ni sehemu ya maandalizi ya kuhakikisha ushiriki wenye tija na kuleta ushindi, huku kila mshiriki akibeba dhamana ya kuiwakilisha vema Halmashauri ya Manispaa ya Geita.
“Twendeni Tanga, Turudi na Ushindi.”
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa