Siku ya Usafishaji Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 20 Septemba, maadhimisho haya huunganisha taasisi za umma, binafsi, na jamii kwa ujumla katika nchi 191 duniani, kwa lengo la kushughulikia changamoto ya udhibiti wa taka
Viongozi wa ngazi zote pamoja na wananchi wanahimizwa kushiriki kikamilifu katika shughuli za usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali kama vile:
- Kaya
- Taasisi
- Masoko
- Njia kuu za usafiri
- Vituo vya abiria
- Maeneo ya wazi, n.k.
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa