• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Geita Town Council
Geita Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Geita

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali Watu na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Miundombinu, Maendeleo vijijini na Mjini
      • Usimamizi taka na Usafi wa Mazingira
    • Vitengo
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Usimamizi wa Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uchimbaji Madini
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya, Ustawi wa jamii na Huduma ya Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Elimu na Afya
      • Kamati ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu ya Maombi
    • Miongozo
    • Jarida la Halmashauri
    • Mkakati wa kuziwezesha
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
  • Maeneo ya Uwekezaji

HALMASHAURI YA MANISPAA YA GEITA YAAZIMISHA SIKU YA LISHE KITAIFA KATIKA KITUO CHA AFYA NYANKUMBU

Posted on: November 21st, 2025

Halmashauri ya Manispaa ya Geita kupitia kitengo cha lishe leo tarehe 21, Novemba, 2025 imefanya hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Lishe Kitaifa iliyofanyika katika Kituo cha Afya Nyankumbu kilichopo katika Kata ya Nyankumbu, yenye kauli mbiu inayosema "AFYA NI MTAJI WAKO: ZINGATIA UNACHOKULA"

Akihutubia katika maadhimisho hayo Mganga Mkuu wa Manispaa ya Geita, Dkt. Sunday Mwakyusa amesema;

"Lengo la kufanya maadhimisho haya ni kutoa elimu ya lishe na kuhamasisha umma kuhusu faida za lishe bora na athari za utapiamlo kwa afya na maendeleo kiuchumi na kijamii."

"Ulaji usiofaa huleta utapiamlo kwa watu wote, hasa watoto chini ya miaka mitano ambao huathiri maendeleo ya ukuaji wao, uwezo wao wa kufikiri wakiwa shule na hata wakiwa watu wazima. Hali hii huepelekea kuwa na jamii isiyo na afya bora ambayo haiwezi kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi katika kuleta maendeleo ya mtu momoja mmoja, jamii na taifa kwa ujumla." Aliongezea Dkt. Sunday

Aidha, Mratibu wa Lishe wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Ngd. Matovu Muhihi amesema, maadhimisho siku ya lishe huadhimishwa kila mwaka ili kuhamasisha umma kuhusu faida za lishe bora na athari za utapiamlo kwa afya na maendeleo kiuchumi na kijamii.

Ndg. Matovu ameongezea kusema kuwa kabla ya kufikia kilele cha maadhimisho haya, kitengo cha lishe kilitoa elimu ya lishe na kufanya upimaji wa hali ya lishe katika baadhi za shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi, vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali na binafsi na Kutoa elimu ya lishe kwa njia ya redio ili kuhakikisha jamii inakuwa na uelewa mzuri wa masuala muhimu ya lishe.

Wananachi wameshukuru kwa kushiriki katika elimu hii na kuahidi kuendelea kutoa Elimu ya lishe bora kwa wengine.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI


BOFYA HAPA KUONA VIDEO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2026 MANISPAA YA GEITA December 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI MKUU 2025 October 06, 2025
  • TAARIFA YA UKAGUZI WA TAARIFA ZA FEDHA KWA MWAKA ULIOISHIA TAREHE 30 JUNI 2024 August 11, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA DEREVA II September 04, 2025
  • Zaidi

Habari Mpya

  • MKURUGENZI WA MANISPAA YA GEITA AFANYA KIKAO MAALUM KUSIKILIZA KERO ZA WATUMISHI WA AFYA

    December 04, 2025
  • MANISPAA YA GEITA YASAMBAZA MBEGU ZA VIAZI LISHE KATIKA SHULE 41 KUBORESHA LISHE YA WANAFUNZI

    December 03, 2025
  • MANISPAA YA GEITA YAKABIDHI KOMPYUTA MPAKATO KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NGAZI YA KATA KUONGEZA UFANISI WA KAZI

    December 03, 2025
  • MADIWANI WA MANISPAA YA GEITA WALA KIAPO NA KUJIELEKEZA KULETA MAENDELEO KWA KUZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA NCHI

    December 02, 2025
  • Zaidi

Video

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA ITIKADI ZA KISIASA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Mfumo wa Watumishi kujihudumia
  • Applications Forms
  • Acts
  • Taarifa za Huduma za Afya
  • Mfumo wa Kupata Leseni za Biashara ( Mfumo wa Tausi)
  • Barua pepe za watumishi
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Taarifa za Mapato

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Geita Tanzania

    Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita

    Namba ya Simu: 0282520437

    Mobile:

    Barua pepe: td@geitatc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa

  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • YAMITOTO
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200 GACOR
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • yamitoto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777