Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita anawatangazia wamiliki wa viwanja vilivyoainishwa katika taarifa hapo chini kuviendeleza viwanja vyao, endapo watashindwa kuviendeleza katika kipindi kilichoainishwa Halmashauri ya Mji Geita itaviuza upya viwanja hivyo. Pakua barua ya onyo na Orodha ya wamiliki wote pamoja na viwanja vyao hapo chini.
Geita Tanzania
Sanduku la Posta: P.o Box 384 Geita
Namba ya Simu: 0282520437
Mobile:
Barua pepe: td@geitatc.go.tz
Hatimiliki 2017 Halmashauri ya Mji Geita . Haki zote zimehifadhiwa